KANISA LA GWAJIMA WAREJEA UBUNGO, ANGALIA IBADA YAO YA KWANZA MAKAZI YA ZAMANI

Baada ya kutumia viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam kwa zaidi ya miaka minne, jumapili iliyopita waumini wa kanisa hilo wakiongozwa na mwanzilishi wa huduma hiyo Askofu Josephat Gwajima, walirejea katika kanisa lao la zamani lililopo Ubungo jijini Dar es salaam. Angalia baadhi ya picha kuona ibada ilivyokwenda.

Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.