PICHA 35+ ZA AWALI SACRIFICE OF PRAISE ARUSHA ILIVYOBARIKI

Wakazi wa Jiji la Arusha walikuwa na wasaa mzuri wa kusifu na kuabudu kwenye tukio la Sacrifice of Praise, ambalo lilifanyika kwenye Kanisa la E.A.G.T Elerai. Tukio hilo lililoongozwa na vijana mwanzo mwisho, liliamsha kile kilichofichika ndani ya watu, na hatimaye kukata kiu ya kumuabudu Mungu kwa uhuru.

Licha ya kutofika kwa baadhi ya waimbaji wengine, Hellen Kijazi, Kelvin Weiber, Paul Clement, Nelly, Chief Pianist, huku Holly Bass akiwa kwenye mtambo (mixer). Hakuna aliyedhani tukio litafana ka namna ile.

Gospel Kitaa imekuwa sehemu ya Sacrifice of Praise, siku hiyo ilikuwepo kuhakikisha hakuna kuhadithiwa, bali upate kila kilichojiri kinagaubaga. Hizi ni picha za awali kuhusu tukio hilo. Taarifa kamili itakujia hapahapa.Mama mzazi wa Desdery akiombea sadaka.Mchungaji Marko wa kanisa la E.A.G.T Elerai akisalimu umati

Hellen Kijazi kutoka Tanga

'locked and loaded"
Kama ambavyo CAHOGO'Z walibariki watu, nao wakaachiliwa upako maradufu
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.