TAZAMA PICHA ZA TAMASHA LA KUONGEA NA RAIS MTARAJIWA UWANJA WA ZAMANI WA TAIFASiku ya jumapili iliyoisha katika uwanja wa mpira wa Uhuru zamani kama uwanja wa Taifa jijini Dar  es salaam, kulifanyika tamasha kubwa la uimbaji lenye lengo la kuzungumza kupitia uimbaji na atakayekuwa Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tamasha hilo liliandaliwa na kwaya ya Efatha kutoka Uhuru Moravian Kariakoo na kuhudhuriwa na watu mbalimbali pia kwaya hiyo ilitumia wasaa wa tamasha hilo kufanya live Recording yao

Baadhi ya kwaya zilizohudhuria tamasha hilo ni pamoja na Neema Gospel ya AIC Chang'ombe, Uinjilisti Kijitonyama, Eden Tabata Moravian, Uinjilisti Sayuni Kinondoni, Tumaini Shangilieni St James Arusha. Ambapo licha ya mahudhurio kutokuwa makubwa sana kama ilivyokuwa ikitazamiwa lakini watu waliofika waliweza kuburudika na lengo la tamasha hilo kufikiwa na vyombo vilivyotumika kutoleta shida kama matamasha mengi yanayofanyika uwanja wa taifa yanavyokuwaUinjilisti Sayuni Kinondoni
Tumaini Shangilieni St James Arusha
Efatha Uhuru Moravian Kwaya

Baadhi ya watumishi wa Mungu waliohudhuria


Neema Gospel Choir Chang'ombe

Efatha Choir na live Recording
Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.