TUMEUONA MKONO WA BWANA NDIO CHAGUO LA GK KUTOKA KWA DOUBLE EChaguo la GK siku ya leo, tumekuchagulia kutoka kwa waimbaji ambao ni wanandugu wa familia Esther pamoja na Evelyn Ikingo  wanaounda kundi la Double E. Waimbaji hawa walitamba na wimbo uitwao 'Yesu Yupo'. Siku ya leo kutoka kwao tumekuchagulia wimbo wao uitwao 'Tumeuona mkono wa Bwana'. Tunatumaini nawe umeuona mkono wa Bwana wiki nzima iliyoisha na sasa tunaanza wiki mpya. Tunakutakia utazamaji na usikilizaji mwema


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.