CHAGUO LA GK NI KEEP ME TRUE KUTOKA KWA PASTOR JABU HLONGWANE NA SIPHO MAKHABANE


Katika chaguo la GK siku ya leo tupo bondeni nchini Afrika ya kusini ambako tunakutana na mkongwe katika muziki wa injili ambaye pia amejizolea tuzo mbalimbali katika tasnia ya muziki, wimbo tuliokuchagulia unaanza na maneno kama haya "Keep me true. Lord Jesus, keep me true Keep me true. Lord Jesus, keep me true There's a race that I must run There are victories to be won Give me power, every hour, to be true" Ni kati ya maneno mazuri katika wimbo "Keep me true" wa wake Pastor Jabu Hlongwane akita amemshirikisha mkongwe mwingine Sipho Makhabane.

Ni kati ya nimbi zilizompa umaarufu Mchungaji Hlongwane ambaye pia ni kiongozi wa kundi maarufu la muziki wa injilis barani Africa la Joyous Celebration. Natumaini utabarikiwa na wimbo huh. Jumpily njema


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.