CHAGUO LA GK TUMWAMBIE BWANA ATUOKOE TUSIZAMESi mara ya kwanza kuweka wimbo huu kama chaguo la GK, kutokana na ujumbe uliopo kwenye wimbo imebidi leo nirudie tena kukuwekea hasa kipindi hiki ambacho tumebakiza wiki moja kamili kuchagua viongozi wa nchi yetu. Hebu kwa pamoja tuendelee kuombea amani ya nchi yetu, umoja na upendo baina yetu ukazidi na kuzuia mianya yote ya adui kutaka kutumia uchaguzi huu kusambaratisha amani yetu na yote ambayo Mungu ametujalia. Kwa pamoja tukishirikiana na mwimbaji huyu Tumaini hebu tumwambie Mungu atuokoe tusizame kwenye mtego wa mwovu na mawakala zake. Tukutakie jumapili njema


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.