HABARI PICHA: NAMNA CHRISTIAN FASHION DAY ILIVYOFANYIKA KATIKA JIJI LA ARUSHAilikuwa ni siku ya jumamosi tarehe 26 mwezi huu wa tisa katika ukumbi wa New Safari Hotel amabapo yalifanyika maonyesho wa mavazi ambayo yalitengenezwa na vijana kwa lengo la kuonyesha ubunifu wao wa 
mavazi. 

Ni siku ambayo wabunifu wa mavazi wa kikristo bila kujali dhehebu au tofauti za mfumo wao wa ibada wanakutana kujadili na kuzungumzia maswala muhimu yanayohusu mavazi stahiki na muonekano sahihi unaomfaa mkristo.


kulikuwa na wabunifu wa mavazi tofauti tofauti yakiwemo kitenge gunia unga nasi katika picha kujionee kile kilichojiri hiyo siku 
ungana nasi zaidi katika picha

Kujua mengi kuhusu Christian Fashion Day bofya hapa?

Isack Jonas akipokea cheti kwaajili ya ubunifu wa mavazi kutoka Benis Product

Joshua Bavuma pamoja na Naomi wakipokea cheti cha ubunifu wa mavazi ya kitenge gunia
Mbunifu wa mavazi kutoka jiji la Dar es salaam anitwa limmy akipokea cheti  cha ubunifu wa mavazi
Muda wa sebene

Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.