SHANGWE ZA GK NI BARAKA ZA NDOA KWA WAIMBAJI WA KWETU PAZURI 2015

Katika shangwe za GK jumamosi ya leo, tupo katika kwaya maarufu ndani na nje ya Tanzania, wanafahamika kwa jina la Ambassadors of Christ kwaya kutoka kanisa la Sabato Remera huko Kigali nchini Rwanda. Mwaka jana na mwaka huu umekuwa na baraka sana kwa upande wa waimbaji kupata wenza wa maisha lakini kubwa zaidi kuliko yote ni ndoa baina ya waimbaji nyota  ambao pia ni viongozi wa kundi hilo Joseph na Gicari ambao walifunga ndoa hivi karibuni, lakini pia walitanguliwa na harusi nyingine za Fredo na Lilian, mapema kabisa mwanadada Uwera Illumine alifunga ndoa na Rukundo. Licha ya harusi pia waimbaji wa kwaya hiyo kuna wengine wamepata watoto na wengine kufanya vyema katika masomo yao. Zifuatazo ni baadhi ya picha za harusi hizo

Joseph na Gicari 
Mwanadada Kelly hakukosa katika harusi ya rafiki yake akiwa kama mpambe na mumewe wakiwa wamesimama nyuma ya maharusi

Ambassadors wakiimba harusiniLilian na Fredo

Waimbaji wa Ambassadors wakiongozwa na malkia wa Kwetu Pazuri mwanadada Yvonne wakiwa harusini


Ambassadors na mwimbaji mwenzao

Uwera na Rukundo

Ambassadors wakiwa na furaha na maharusi©AOCC

Nimekupata Yesu


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.