BABA YANGU NDIO CHAGUO LA GK KUTOKA KWA JACKSON BENTYChaguo la GK kwa jumapili ni kutoka kwa mwimbaji nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania ambaye pia ni kiongozi wa timu ya sifa na kuabudu ya kanisa la Ufufuo na Uzima jijini Arusha ajulikanaye kama Jackson Benty. Mwimbaji huyu ametamba na nyimbo mbalimbali ambazo zimebadilisha na kubariki maisha ya wengi. Leo kutoka kwake tumekuchagulia wimbo uitwao "Baba Yangu" wimbo wa kuabudu na maombi. Tunakutakia wiki njema yenye mafanikioShare on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.