CHAGUO LA GK NI KUTOKA KWA SOWERS GROUP UMVA (SIKIA)Katika chaguo la GK siku ya leo ni kutoka kwa kundi lililojipatia umaarufu nchini la The Sowers group ambalo limehamishia makazi yake nchini Australia kwasasa. Kutoka kwao tumekuchagulia wimbo ambao ni kati ya nyimbo zilizowatambulisha vyema katika medani ya muziki wa injili nchini. BarikiwaShare on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.