CHAGUO LA GK WIMBO WA CHRISTMAS UNAOPENDWA ZAIDI BARA ULAYA NA AMERIKAKatika kumalizia sikukuu ya Krismasi ambayo iliadhimishwa hapo juzi duniani kote, basi hii leo kupitia chaguo la GK tumekuchagulia wimbo unaopendwa sana wakati sikukuu za Krismasi kila mwaka hasa upande wa waimbaji ambao huimba wimbo huu katika maonyesho yao katika kusherehekea sikukuu hiyo. Wimbo unaitwa 'O Holy Night' ambao ni utunzi wa Adolphe Adam mwaka 1847 hapa ukiwa umeimbwa na mwanamama Mariah Carey. Tunawatakia jumapili njemaShare on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.