HABARI PICHA: UZINDUZI WA ALBAM YA AUDIO YA WANITOSHA KUTOKA KWA LILIAN KIMOLAIlikuwa ni siku ya Jumapili tarehe 20 mwezi wa 12 mwaka 2015 saa nane mchana, katika ukumbi wa wa Hoteli ya Blue Pearl iliyopo Ubungo Plaza, ambapo mwanamama Lilian Kimola alikuwa akitambulisha rasmi albam yake ya pili ya audio inayokwenda kwa jina la WANITOSHA.

Katika uzinduzi huo kulikuiwa na mwitikio wakutosha kutoka kwa waimbaji wenzake wa nyimbo za injili pamoja na watu waliohudhuria katika uzinduzi huo.

Uzinduzi huo uliwakutanisha waimbaji wa muziki wa injili akiwemo Joyce Ombeni, Jane Miso, Mkongwe Cosmas Chidumule, Jennifer Mgendi, Christina Matai, Edson Zako, Edna Kuja pamoja na wengine wengi kutoka kundi la One Voice Family International (OVF).

Kama ilivyo ada, GK nayo ilikuwepo kukuletea habari za uzinduzi huu. Ungana nasi katika picha. 
Lilian Kimola na Joyce Ombeni


Mr Kimola

Rulea Sanga wa RumAfricaJoshua Silomba (kushoto) akisherehesha.
Familia

Bony Magupa kwa micJane Miso na manoti

Jessica Emmanuel

Dina Mgomera

Mrs Elisha (Carolina)

Elisha mwenyewe ndo huyu hapaJohn Maulid (Team GK)


tunayarudi sasa


MC Mkolosai The Boy (anakaribia kuwa The Man)

Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.