IBADA YA KRISMASI NAIOTH GOSPEL ASSEMBLY KATIKA PICHA

Sikukuu ya kuzaliwa Kristo Yesu imeadhimishwa kwa namna mbalimbali nchini. Makanisani nako kumekuwa na matukio tofauti tofauti, ili mradi watu wapate kuruhusu Yesu azaliwe ndani yao kwa upya.

Zifuatazo ni picha za ibada ya Krismasi kama ambavyo zimepigwa na GK kwenye kanisa la Naith Gospel Assembly, kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Makanisa ya Kipentekoste nchini, Askofu David Mwasota, ambaye alitumia siku hiyo kuhusu kubadili njia mwaka 2016, na kutotumia zilezile ambazo zimekuwa zikiwarudisha nyuma.

Kama ambavyo Mamajusi waliifuata nyota ikawafikisha kwa mtoto aliyezaliwa, ndivyo ambavyo tunatakiwa kuwa.


media kazini

Katibu wa Unangoja Nini akiongea na Mchungaji Rahel Mwasota

praise team
Mr and Mrs Mtimba


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.