KILICHOKUPITA: IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU NA KUTULINDA HATA KATIKA UCHAGUZI HUUWakati Jiji la Dar es Salaam wenyewe wakimshukuru Mungu kutokana na uchaguzi kufanyika kwa usalama na amani, Jijini Arusha tukio kama hilo lilifanyika kuelekea uchaguzi mkuu, GK ambayo ilikuwa sehemu ya tukio hilo, inakuletea picha za tukio.

Emmanuel Makwaya amekuwa akifundisha somo la Kusifu na Kuabudu katika sehemu mbalimbali. Na pia alikuwa akiandaa semina za mafundisho hivyo akaamua kuyaleta yale anayofundisha katika matendo.

Katika kipindi hiki cha uchaguzi katika nchi ya Tanzania hivyo ilikuwa ni Ibada ya kumshukuru Mungu kwa kutupenda kama Tanzania na kutulinda hata katika uchaguzi huu.

Ungana na GK katika picha kama ilivyofika katika ibada hiyo iliyofanyika tarehe 14 mwezi wa kumi katika ukumbi wa Hotel ya Cordial Springs.
 Abednego na The Worshipers 

Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.