PICHA ZA AWALI: SIKU YA FURAHA IMESHAANZA, JONGEA TUUNGANEKama uko mbali, usijali - endelea kujongea mitaa ya Sinza, Kanisa la Word Alive. Ni hapa ndipo siku ya leo itahitimishwa, kwa Furaha na shangwe zote. Tayari tukio limekwishaanza, na Gospel Kitaa ambayo imeweka kambi hapa itakufahamisha kinachojiri, lakini pamoja na yote, kuna mambo mengine hayawezi kuelezeka.


Fika mwenyewe upate kubarikiwa na kufurahia tukio hili ambalo limefunguliwa rasmi na Mchungaji Lucy wa Spring of Life Church Pentecost lililopo Kibamba, huku The Jordan band wakiongoza ibada ya kusifu. Kwa sasa imeshafahamika kwamba mipnago ya Mungu iko tofauti na ile ya wanadamu. Ndivyo anavyotukumbusha muimbaji aliyepanda hivi sasa ni Magreth Mwakyusa.


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.