SHANGWE ZA GK: UCHUMBA WA BEATRICE MWAIPAJA NA JACKSON JOACHIMHatimaye imekuwa, muimbaji wa nyimbo za injili, Beatrice Mwaipaja amevishwa pete ya uchumba na Jackson Joachim Mganguzi, kwenye hafla iliyofanyika nyumbani kwa wazazi wa binti, Jijini Dar es Salaam.

Wachumba hawa wako kwenye tasnia zinazofanana. Beatrice ni muimbaji, na Joachim ni muongozaji wa video. Heko! Mungu awawezeshe katika safari yenu njema.Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.