CAMPUS NIGHT ARUSHA NI IJUMAA HII TAREHE 15

Zikiwa zimebakia siku mbili kulekea mkesha wa Campus Night 2016 pale SheikAmri Abeid Karume jijini Arusha ambalo limeandaliwa na Manna Tabernacle Bible Church (MTBC) - Moshi tarehe 15 januari mwaka huu kuanzia saa mbili usiku,tayari jukwaa limeshaanza kufungwa katika katika huo.

fb/John Pazia
 
fb/John Pazia

Tukio hilo itahusisha waimbaji mbali mbali wa muziki wa injili kama Angel Benard,Paul Clement, MTBC Praise Team,VOT,Abenego & The Worshipers na wengine wengi,Ambapowahudumu wakiwa ni Mchungaji Dickson Mtalitinya(mwenyeji) pamoja na Martin & Jannekah Gooya(nairobi).
 
Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.