CHAGUO LA GK TUANZE MWAKA KWA SHANGWE ZA KUMSIFU MUNGU WETUKatika kuanza mwaka kwa kishindo tunaanza na wimbo wa kusifu mpya kabisa kutoka kundi mahiri katika medani ya muziki wa injili nchini Tanzania, wakifahamika kama Glorious Worship Team kupitia wimbo wao 'Bwana wa Majeshi'. Tumekuchagulia wimbo huu ikiwa kama chaguo letu kwako katika kumshukuru Mungu kutuvusha salama kutoka mwaka 2015 - 2016. Hakika ni kwa neema na rehema tu kwa nafasi hii. Basi tukutakie jumapili njema unapoutazama wimbo huu na kusikiliza maneno na muziki wake namna ulivyopangiliwa vyema.


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.