EE BWANA NINA SHAUKU NDIO CHAGUO LA GK KUTOKA DINA MGOMERAMchana wa leo katika kanisa la TAG Ilala jijini Dar es salaam kunafanyika uzinduzi mkubwa wa DVD ya mwimbaji Dina Mgomera iitwayo 'Nina Haja Nawe' ambayo imerekodiwa katika viwango vizuri vya kukubariki wewe mdau na mpenzi wa muziki wa injili nchini.

Kutoka kwa mwanadada huyu tumekuchagulia wimbo wake kama chaguo letu kwako kwa jumapili ya leo wimbo unaitwa 'Ee Bwana' ni wimbo mzuri ambao tunaamini utakubariki. Kumbuka kufika katika kanisa la TAG Ilala ambalo lipo maeneo ya Kigogo sambusa ama mbele ya shule ya msingi Msimbazi Mseto kituo cha kushukia ni msimbazi centre. BarikiwaShare on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.