NAKUPENDA NDIO CHAGUO LA GK KUTOKA KWA THE WORSHIPPERZ ARUSHAKatika chaguo la GK hii leo tupo jijini Arusha ambako tunakutana na moja ya kundi linalozidi kushika kasi katika medani ya kumwinua Mwokozi wa ulimwengu. Kundi hili si lingine bali ni The Worshipperz wakiongozwa na mwimbaji nguli wa injili nchini Peter Abednego ambaye amejulikana zaidi kwa huduma yake akiwa na kundi zima la New Life Band nayo ya jijini humo.

Kutoka kwao tumekuchagulia wimbo "Nakupenda" natumaini wimbo huu utafanyika baraka katika maisha yako. Uwe na jumapili njema


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.