NI ZAMU YA DVD YA DINA MGOMERA 17 JANUARI NDANI YA TAG ILALA

Kati ya mamvo ambayo yalikuwa yakisubiriwa mwanzoni mwa mwaka huu, basi ni tukio la tarehe 17 Januari, siku ambayo muimbaji wa nyimbo za injili, Dina Mgomera, atakuwa akizindua DVD yake ya Nina Haja Nawe.

Tukio hilo ambalo litasindikizwa na waimbaji kadha wa kadha ambao wataimba live, litafanyika kwenye kanisa la Tanzania Assemblies of God, Ilala. Baadhi ya waimbaji watakaokuwepo ni pamoja na wanaotoka One Voice Family International, Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, na wengineo wengi.

Mtazame Dina mwenyewe akizungumzia tukio hilo ambalo limedhaminiwa na kampuni ya Great Quality na Gospel Kitaa.Unaweza pia kutazama video rasmi hapa chini;


Tukutane Jumapili ya tarehe 17 Januari ndani ya T.A.G Ilala, Gospel Kitaa itakuwepo kukuletea matukio yote.
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.