NIKUFANANISHE NA NANI NDIO CHAGUO LA GK, NI VIWANGO MKOANIJumapili ya pili kwa mwaka 2016 tunaendelea kumshukuru Mungu kwa uzima na nafasi yakuwepo kwetu kwa mwaka huu, GK imekuchagulia wimbo kutoka kwaya Uinjilisti Uyole ya jijini Mbeya chini ya kanisa la Kilutheri wakiwa wameshirikisha mwimbaji maarufu aliyetamba na kwaya ya uinjilisti Kijitonyama ya jijini Dar es salaam Modest Morgan. Wanakwambia 'Nikufananishe na nani'.

Ni uhakika kwamba utabarikiwa na waimbaji hawa hususani ujumbe uliopo kwenye wimbo husika na namna mwanzishaji alivyoweza kuimbisha vyema na kuiongoza kwaya kufikisha ujumbe huu wa kumwabudu na kumsifu Mungu. Tunawatakia jumapili njema

Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.