NYOTA WA JOYOUS CELEBRATION AENDELEA KUSHANGAZA WENGI KWA UJASIRI WAKE

Sphumelele na mumewe katikati huku pembeni ni pastor Jabu kiongozi wa Joyous, siku ya harusi ya mwimbaji huyo
Aliyekuwa mwimbaji nyota wa kundi maarufu la Joyous Celebration la nchini Afrika ya kusini ambaye amemaliza mkataba wake mwanzoni mwa mwaka jana Sphumelele Mbambo ameendelea kuwashangaza mashabiki, rafiki na ndugu zake wanaomfuatilia katika ukurasa wake wa Facebook baada ya mwanadada huyo kumtakia heri ya kuzaliwa aliyekuwa mumewe wa ndoa anayedaiwa kumtelekeza mwimbaji huyo bila chanzo kujulikana.

Katika ukurasa wake mwimbaji huyo amemtakia heri mumewe huyo na kumsukumia injili kwa kumwambia Yesu anampenda. Unaweza kujisomea hapo chini

Happy birthday to My X-Husband Sakhile AKA Dj Kiteng God be with you in everything don't forget Jesus  is with you and He love's you unconditionally and He have Good plans for your live just praise Him and Celebrate the Gift of life I will always Pray and respect you as a person now you like a Brother to me enjoy the rest of your day to the fullest stay blessed and prepare your self for a brighter future and be ready for blessings that God have for you and don't forget that you are a Man nomatter what is happening in your life but nothing can take away the authority that God give you as a Man. after all the truth is we are all Children of God that keep us on the same side of life happy birthday
Sphumelele aliyetamba na nyimbo za kitamaduni tangu ajiunge na Joyous, alivunja ukimya kupitia ukurasa wake huo wa Facebook mapema mwaka jana pale alipoamua kuuambia umma kwamba amekimbiwa na mumewe kupitia salamu zake za kuzaliwa kwa mumewe huyo na kwamba hajajua hasa kisa cha kukimbiwa lakini alisema ameandika hivyo ili kumtakia amani na mafanikio huko aendako na angependa waendelee kuwa marafiki (kusoma habari hii bonyeza hapa). Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.