SHANGWE ZA GK: SHUKRANI BAADA YA TAMASHA LA FURAHA ISAYA

Boxing Day ama siku ya kufungua zawadi ilikuwa ni siku ambayo Furaha Isaya alizundua single yake. Baada ya tukio hilo la uzinduzi, Furaha ambaye pia ni mwana One Voice Family International, aliweka kambi pamoja na wanakikundi wenzake nyumbani kwa Lilian Kimola, ambao ilikuwa ni shangwe kwa kwenda mbele pamoja na kumshukuru Mungu.

Zifuatazo ni picha za tukio

Vicktory Syaona Na Magreth Mwakyusa

Mkolosai Na Vick Wa PPR

Magreth Na Furaha Isaya

OVF

John Wa JM Media Na Joyce Ombeni

Joyce Ombeni

Magreth Mwakyusa


Elie Na Vicky


Furaha Isaya

Furaha na Joyce Ombeni

Noel Migongo Na Furaha Isaya


Furaha Akimlisha Keki Mtoto

Furaha Akimlisha Keki Magreth

Furaha Akimlisha Keki Kenny Mavoko

Pastor Beny toka Arusha Akilishwa keki Na Furaha Isaya

Furaha Isaya Akimlisha Keki Bony Kazi Wa Team Gk

Nyorobi Akilishwa Keki Na Furaha Isaya

Nyorobi Akimlisha Keki Vicky Wa PPR

OVF wakila Mishikaki Pamoja na Keki

Liliani Kimola Akilishwa Keki na Furaha Isaya

Elie wa Team GK Akimlisha Keki Furaha Isaya

Elie Wa Team GK Akijiandaa kumlisha Keki Furaha

Mch. Mkolosai

Magreth Na Elie Wa Team GK

Bony Kazi Wa Team GK

Mch. Joshua Silomba, Lilian Kimola, Furaha Isaya Na Noel Migongo

Lilian Kimola, Furaha Isaya na Noel Migongo

Pastor Beny

OVF wakipata chakula

Vicky Wa PPR

Mkolosai

John Maulid Wa Team GK

OVF

Furaha Isaya Na Noel Migongo

Kenny Mavoko

Preshaz

Mch. Joshua Silomba

Noel Migongo

Pastor Benny

OVF


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.