CHAGUO LA GK NI KUTOKA KWAYA YENYE VIPAJI VYA UIMBAJI NA UPIGAJI JIJINI DAR ES SALAAMKatika chaguo la GK jumapili ya leo tupo jijini Dar es salaam ambko tunakutana na moja ya kwaya zilizobarikiwa katika uimbaji wenye kugusa wengi. Wanaitwa Dar es salaam Gospel Choir (D.G.C) kutoka kanisa la Pentekoste Kurasini mkabala na viwanja vya maonyesho vya mwalimu Julius Kambarage Nyerere zamani Sabasaba. Kupitia album yao ya pili tumekuchagulia wimbo uliobeba album hiyo uitwao "Basi sasa hakuna hukumu". Natumaini utabarikiwa nao kwa sauti, ujumbe na waimbishaji wao matata kabisa. Ubarikiwe na tukutakie utumishi mwemaShare on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.