NI MWENDO WA MAOMBI NA KUFUNGULIWA, NYUMBA YA UTUKUFU WA MWISHO, ARUSHA


Saa nane hadi saa kumi na mbili jioni kuna mahala pa kuelekea kama uko Jijini Arusha, napo ni Nyumba ya Utukufu wa Mwisho iliyoop Shamsi. Ndani ya nyumba hiyo ni mwendo wa maombi hadi kieleweke.

Mtumishi wa Mungu Goodluck Sandy ambae anamtumikia Mungu kwa kuwafundisha waumini kitu Alichopewa na ndiye mbeba maono wa jambo zima. Lakini sanjari na hayo, pia Goodluck Sandy ni muimbaji mkongwe wa nyimbo za Injili hapa Jijini Arusha, ambaye kwa sasa anarekodi video ya album yake ya kwanza iitwayo Milima na Mabonde, chini ya JM Media.

Jumapili ya jana ndio kumekuwa na hitimisho la semina ya siku tano, ambayo alianza nayo siku ya Jumatano, GK inakuletea picha za tukio hilo kama ambavyo ilikuwa sehemu ya tukio.


Share on Google Plus

About John Maulid

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.