SHANGWE ZA GK: FELIX NA EDDAH WAAGANA NA MAISHA YA 'USEJA'


Katika shangwe za GK leo tukona maharusi wapya, Felix na Eddah ambao tarehe 6 Februari waliamua kuuthibitishia ulimwengu ya kuwa wanapendana, hasa pale Felix alipomuabia Eddah, "Yes I do", naye Eddah akajibu vivyo hivyo.

Sherehe maalum ilifanyika ndani ya ukumbi wa Mawela, Sinza, zikiongozwa na MC Mashuhuri na mtaalam wa Sanaa ya Mawasiliano ya Uma, Lawrence Mwantimwa. Tukio hilo la baraka ya kipekee lilidhaminiwa na Gospel Kitaa, Mwanti Car Trade, Divine Christian Academy na Harusi Live.com.

Zifuatazo ni picha za hafla hiyo

Nderemo na vifijo

Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.