SHANGWE ZA GK: SEND-OFF YA FAITH KAMETA


Kati ya matukio muhimu maishani basi ni pale linapokuja suala la kuanza maisha mapya na mwenza wako wa milele. Katika hilo, GK inakuletea usiku maalum wa Faith Kameta; ambaye ameagwa hivi karibuni; katika tukio ambalo kwa kizungu likaitwa 'send off'.

Sherehe hizo za kumuaga zimefanyika kwenye ukumbi wa Klamuu ulioko Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, ambapo watu walikula, wakanywa na kufurahi kwa pamoja na hata kucheza, wakihesabu siku ili Faith na Gondwe wakaanzishe boma lao.

Shughuli hiyo ilisimamiwa na mtaalamu wa Sanaa ya Habari na Mawasiliano ya Uma, MC Lawrence Mwantimwa na kuletwa kwako kwa pamoja na Mwanti Car Trade na GK.
Share on Google Plus

About Elie Chansa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.