UFUNGUZI WA MATAMASHA YA KUSIFU NA KUABUDU NAIOTH DIVINE ARUSHA


Kusifu na kuabudu ni Jambo la lazima kwa kila binadam ambae anavuta pumzi hapa chini ya jua Maana Mungu Wetu Anapenda Sifa Napia Anapaswa Kuabudiwa.

Kwa sababu hiyo Kanisa la Naioth Divine Power Christian Center lililopo Kambi ya Chupa Madukani Arusha, linaloongozwa na Mchungaji Mathayo  limeanza rasmi ufunguzi  wa tamasha la kusifu na Kuabudu.
Tamasha hili litakuwa likifanyika kila jumapili ya mwisho wa mwezi lengo kuu ya hili tamasha ni kukuweka zaidi karibu na Mungu.

Zifuatazo ni picha za Tamasha hilo la mwanzo kama GK Ilivyokukusanyia.

Mchungaji Mathayo

Share on Google Plus

About John Maulid

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.