HABARI PICHA: TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU PASAKA NDANI YA ARUSHA

Paul Johnson na team yake.
Paul Johnson and  the arusha mass choir wameandaa tamasha la pasaka la kusifu na kuabudu ndani ya Kaloleni Pentecoste International Church, Jijini Arusha.
Waimbaji mbalimbali walikuwepo wakimsifu na kumuabudu Mungu, ambapo watu walipata uponyaji wa nafsi na roho zao.

GK iliweka kambi eneo la tukio, na zifuatazo ni baadhi ya picha zilizopigwa, kwa picha kamili tembelea ukurasa wetu wa picha pekee kwa kubofya hapa.Tunamchezea Yesu
Uncle ImaEliza

Makamanda wa Gospel Hip HopMnene Makweta na wenzie

Vee JayShare on Google Plus

About John Maulid

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.