MWENDELEZO WA IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU NAIOTH DIVINE CENTRE ARUSHA

Mungu huketi katika sifa, na hii ni dharhiri kwani katika kusifu na kuabudu, kuna watu hutolewa katika vifungo vyao. Sifa hushusha uwepo wa Mungu, na katika hili - wapo waliotambua dhahiri na kuamua kutengeneza siku maalumu.

Huu ni mwendelezo wa Tamasha ambalo kanisa la Naioth Divine Power Christian Center lililopo Kambi ya Chupa Madukani Jijini Arusha huwa wanafanya kila jumapili ya mwisho wa mwezi. Tukio hili la baraka kwa Mungu imefanyika tar  28 Februari 2016 ambapo na hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa na GK
Share on Google Plus

About John Maulid

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.