PICHA ZA AWALI KUTOKA ARUSHA TUNZO ZA HESHIMA KWA WAINJILISTINi mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu cha Afrika (Afrika Graduate University) tokea kuanza kwake, ambapo watumishi 17 kutoka maeneo mbalimbali wametambulika na mchango wao kutambuliwa, na hatimaye kutunukiwa shahada (shahada ya kwanza, ya uzamili, na uzamivu) katika tasnia ya uenezaji wa injili.

Tukio hili la kihistoria ambalo limefanyika Jijini Arusha, limetolewa na Chuo Kikuu cha Serikali ya Sierra Leone, ambacho huangalia mchango ambao mtu amefanya kwenye jamii, tofauti na desturi ya wengi kuongea baada ya mtu kutangulia mbele.

Gospel Kitaa ilipiga kambi, na inakuletea picha za awali kama ifuatavyo.
wahitimu wakiingia


Katibu wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, Stella JoelAdd caption

Cinematographers kazini
MC wa shughuli, Mchungaji Lucy
Share on Google Plus

About Elie Chansa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.