SEMINA ARUSHA: SIKU 8 ZA KUFUNGULIWA VIFUNGO ULIVYOFUNGWA BILA KUJUA


Karibu katika semina ya siku nane iliyoandaliwa na mtumishi wa Mungu Goodluck Sandy, ili watu mbalimbali wapate kuponywa na kufunguliwa dhidi ya vifungo walivyofungwa na ukoo wao.

Kila aina ya kamba ulizofungwa ukiwa tumboni kabla ya kuzaliwa zitaondolewa, ikiwemo magonjwa yaliyo sugu, na hata maagano usiyoyafahamu yanayokuandama na kukutesa kila siku, ndoto za ajabu, na kila aina ya tatizo.

Hujachelewa mtu wa Mungu, fika Shamsi, Hemani kwa mtumishi wa Mungu Goodluck Sandy. Na hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa na GK baada ya kufika siku ya pili ya tukio hilo ambalo linataraji kutamati Jumapili tar 13.
Share on Google Plus

About John Maulid

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.