CHAGUO LA GK: PASTOR BENY NA NJIA YA MSALABA

Twatumai u mzima mdau wa Gospel Kitaa popote pale ulipo. karibu katika Chaguo la GK kwa mara ya kwanza kwa mwezi Aprili.

Jiji la Arusha limebarikiwa vipawa vya aina nyingi, na miongoni mwao yupo Benjamin Nitho kutoka Benjamin Worshipper. hapa anakujia na wimbo uitwao Njia ya Msalaba.

Katika njia zetu zote - zile zitufaazo mbele za macho yetu, ni njia ya msalaba pekee ndio itupayo kushinda na kuwa miongoni mwa walioandikwa kwenye kitabu cha uzima.

Karibu tujumuike pamoja kwa video hii inayoletwa kwenu na muongozaji John Maulid kutoka JM Media na Gospel Kitaa.
Share on Google Plus

About Elie Chansa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.