CHAGUO LA GK: WATAWALA - KUTOKA KWA FRIDA FELIX


Uhali gani mdau wa Gospel Kitaa, tunatumai kuwa uzima tumevuviwa sote kupitia Mungu mkuu atawalaye viumbe vyote duniani.

Kwa Jumapili ya leo Chaguo la GK linatoka kwa mwanadada mtaalamu wa sheria, Frida Felix akitukumbusha kwamba Mungu yu na wezo wa kufanya lolote atakalo - yani kwamaba anatawala juu ya vyote, maana ni Mungu mkuu. Kitabu cha Danieli 4:17-34

Wimbo huu ndio unaobeba jina la album ya Frida Felix, ambayo itatoka mnamo kati ya mwei Juni na Julai.

Ambatana nasi kwa dakika 4 katika vidoe hii ilioongozwa na XirDizzo Slash .Tukutane Jumapili ijayo.

Share on Google Plus

About Elie Chansa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.