HE DID IT AGAIN KUTOKA KWA SINACH EGBU NDIO CHAGUO LA GK


Katika chugo hili la GK leo tupo na Sinach Egbu  anayetambulika kwa nyimbo ya I Know Who I Am kutoka nchini Nigeria.

Tunaamini kuwa Mungu yupo na anatujibu kila siku iitwayo leo, usikate tamaa kwasababu anafanya tena katika maisha yako pasi nawe kujua.

Kutoka kwake leo tumekuchagulia wimbo huu wa He Did It Again ufanyike baraka katika maisha yako. Uwe na Jumapili njema.
Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.