HABARI PICHA: ENGARENAROK WALIVYOMRUDISHIA SIFA NA UTUKUFU MUNGU

Kutambua uwepo wa Mungu ni hatua ya kwanza apate kutawala maisha yako, kutambua ukuu wake na kumsifu ni hatua nyingine inayoweza kukuletea baraka zake na ukafanikiwa katika kile ufanyacho. Kufuatia hilo ndipo tunaona namna ambavyo Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Kaskazini Kati Arusha, Usharika wa Engarenarok walivupandaa tamasha hili ambalo lilikuwa na uwepo wa Mungu. Wenye kuponywa mioyo wakaponywa, na wenye kupokea ujazo wa Roho Mtakatifu wakampokea vilevile.

Gospel Kitaa iliweka kambi kanisani hapo, na zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo.
Zifuatazo ni picha za matukio kama ambavyo Gospel Kitaa inakuletea. - See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2016/04/tamasha-la-mic-on-gospel-hip-hop.html#sthash.kyH56xkX.dpuf

Zifuatazo ni picha za matukio kama ambavyo Gospel Kitaa inakuletea. - See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2016/04/tamasha-la-mic-on-gospel-hip-hop.html#sthash.kyH56xkX.dpufMwimbaji Goodluck Sandy

Share on Google Plus

About John Maulid

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.