YOUTH NIGHT LIVE ILIVYOFANA JIJINI ARUSHA KATIKA PICHABaridi ya usiku wa ijumaa tarehe 22 Mwezi wa nne 2016 katika kanisa la New Life Outreach (sakina kwa idd) jijini Arusha haikuwa wazuiya vijana wa kila kona ya kanda ya kaskazini  kuacha vitanda vyao nakuwaelekea kwenye mkesha wa Youth Night Live uliondaliwa na Abednego na The Worshippers.

Usiku huo ulihudumiwa  na vikundi vya uimbaji jijini Arusha wakiwemo PCAPS, Shangwe Voices, pamoja na wakongwe wa musiki wa New Life Band ambao walianza kwa kuimba acapela. 

Pamoja na kubarikiwa na wahudumu jukwaa lilipambwa na kwa taa maalumu na kupendeza, uku vyombo vya musiki vikitoa sauti kwa ubora wa kipekee. 
Zifuatazo ni picha za mkesha huo, 

Mise Anael Pamoja na PCAPS 

Mise Anael katika upigaji wake wa saxophone Worshippers wakimshukuru Mungu baada ya kumaliza mkesha

Worshippers wakiwa uweponi 

Elder Tolla G katika kumwabudu Mungu 

Fredy Chavala akiongea na kuwaasa vijana 

Add caption

Jimmy Kimutuo katika ubora wa upigaji kinanda 


Shangwe Voices katika Jukwaa

Abednego Hango Mwasisi wa The Worshippers 

Furaha Loi  

Mwl: Emmnuel Makwaya 

New Life Band 

Goodlucky Matingisa, New Life Band 


Nelly Music 
Joel Andrew 


Fredy Msungu 
kwa picha zaidi ingia Hapa >>>


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.