CHAGUO LA GK: JESUS IS HERE - ISABELLA


Tunamaliza nusu mwaka na hii ni Jumapili ya mwisho ambayo tunakuletea mwimbaji kutoka Nigeria anayejulikana kwa jina la Isabella na nyimbo yake ya Jesus is Here (Yesu Yuko Hapa).

Yaweza kuwa umekata tamaa au umefadhaika ila amini ya kuwa Yesu yuko hapa kupigana na kutetea maisha yako katika kila hali unayopitia.

Yawezakuwa wewe ni mtu wa furaha ndani ya moyo wako lakini bado huamini ya kuwa Yesu yuko hapa yeye ni Bwana wa mabwana, Mfalme wa wafalme na Mungu mwenye nguvu.Amini unaweza na usikate tamaa Yesu yuko hapa kukupa amani,furaha,upendo na kukutia nguvu kwa kila jambo unalokusudia kulifanya.


GK Tunakutakia jumapili njema na yenye baraka.


Tuimbe na Isabella - Jesus Is Here

Verse 1
I see the cloud
I hear the sound
A roar from the heavens
It’s getting loud
It’s all around
Breaking the silence
Chorus
Like a rushing wind
Like a flowing stream
Like a shining star
Jesus is here
He’s the Prince of peace
He’s the Mighty one
He’s the Great I AM
Jesus is here
Verse 2
I hear His voice
I feel His touch
I know His presence
Anointing so real
Aroma so sweet
Piercing the darkness
Verse 3
I sense a shift
A breakthrough within
Deep in my spirit
He is enthroned
The King of my praise
The Lord of my worship
Bridge
All the earth
Shout His praise
Sing a new song
Lift your voice
Raise your hands
Give Him glory
Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.