DOWNLOAD GOSPEL KITAA APP KUPITIA PLAYSTORE BURE

Kwa kadri teknolojia ya habari na mawasiliano inavyokuwa, ndivyo nasi tunajitahidi kukufikia zaidi wewe mdau wa Gospel Kitaa. Kurasa kadhaa zipo kwa ajili yako kuzifuata kwa huduma mbalimbali.

Muonekano wa App kwenye Play Store
Playstore
kwa watumiaji wa simu za android, unaweza kudownload app ya Gospel Kitaa kupitia Google Play Store na pia kwa kupitia Opera Mobile Store (bofya hapa kwa ajili ya Opera Mobile Store).SoundCloud

Mahojiano kwa njia ya sauti kadhaa pamoja na nyimbo mpya za waimbaji mbalimbali unaweza kuzipata kupitia ukurasa wetu wa Soundcloud. Ungana nasi huko kupitia www.soundcloud.com/gospelkitaa kisha utufollow, nawe utaendelea kupata mambo mengi, ikiwemo sauti na nyimbo mpya kwa kadri zinavyotufikia.

Youtube

Mahojiano kadhaa, nyimbo mpya na mambo mengi mazuri yanakufikia pekee kupitia ukurasa wetu wa YouTube. Ili kutopitwa na yote yanayojiri kwenye ukurasa wetu wa youtube, bofya hapa kisha usubscribe.
 Instagram

Kwa wale watumiaji wa Instagram, basi nako Team GK imekufikia kwa kukuoa dondoo ya kinachoendelea na matukio mbalimbali. Unaweza kutufollow www.instagram.com/gospelkitaa
Bofya hapa kuingia ukurasa wetu kisha utufollow ili kutopitwa na matukio.

Twitter
Uzuri wa twitter anaujua mtumiaji. Nasi bila kukupotezea uhondo wake, unaweza kuambatana nasi kupitia ukurasa wetu wa twitter. www.twitter.com/gospelkitaa
Kama ilivyo kwa instagram, jina letu ni @gospelkitaa


Google Plus

Huduma hii ya Google inakuwezesha kupata taarifa rasmi mara zinapochapishwa kwenye ukurasa wetu. Cha kufanya ili usipitwe, unaweza kuwenda kwenye ukurasa wetu na kutuweka kwenye circle yako. Add to circles na kisha kutufollow. +Gospel Kitaa 

Kwa ujumla, taama video ifuatayo ili kujua namna ya kutupata kupitia kurasa zetu mbalimbali.

GK Tumekufikia.

Tukutane wakati mwingine, kukufahamisha timu nzima nani ni nani.

Share on Google Plus

About Elie Chansa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.