MALKIA WA MUZIKI WA INJILI AFRIKA DKT REBECCA MALOPE ATINGISHA UINGEREZAMalkia wa muziki wa injili barani Afrika mwanamama Dkt Rebecca Malope wiki iliyopita aliweza kubariki mamia ya wakazi wa Uingereza wenye asili ya Afrika ambao walijazana kwenye ukumbi wa Tower Ballroom jijini Birmingham nchini humo ambako aliambatana na bendi yake kwaajili ya onyesho hilo lililoandaliwa na Rainbow entertainment and promotions ya nchini humo.

Onyesho hilo lilifanyika wiki iliyopita, ambapo mwanamama huyo aliweza kuimba kwahisia kama ilivyokawaida yake kwa kuchanganya nyimbo zake mpya na za zamani, hali iliyoleta furaha kwa mashabiki waliofurika katika ukumbi huo, wengi wao wakiwa ni raia wa Afrika ya kusini na Zimbabwe ambao wanaishi Uingereza.Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.