TAZAMA JOYOUS CELEBRATION 20 (MPYA) NDANI YA GK


Hii ni kwa wapenzi wa kundi la Joyous Celebration la Afrika ya kusini, kama bado hujapata fursa ya kutazama nyimbo zilizomo katika DVD yao mpya ya 20 iliyozinduliwa rasmi kipindi cha Pasaka mwaka huu, basi usipate shida GK tumekuwekea humu baadhi ya nyimbo ili upate kuzitazama kama zilivyoachiwa kupitia mtandao wa YouTube na watu mbalimbali.


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.