A I C CHANGOMBE CHOIR "WASTAHILI" NDIO CHAGUO LA GK LEO


Wastahili ndio chaguo la GK kwa siku ya leo kutoka kwao AIC Chang'ombe Choir (CVC), ni wimbo wa kutafakari matendo makuu ya Mungu wetu juu ya maisha yetu. Ukaribu wake kwetu, ulinzi na upendo wake juu ya maisha yetu, hatuna cha kumlipa zaidi ya kusema Asante Baba. Wimbo huu unapatikana katika album yao iliyopita iitwayo "Usiku wa Manane". Tunakutakia jumapili njema na Mungu akubarikiShare on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.