HABARI PICHA: USIKU MAALUM WA SAXOPHONE ULIVYOFANYIKA


Ulikuwa ni usiku wa kipekee na kwa wale waliopata nafasi ya kuhudhurua hawatousahau.Tunauzungumzia usiku wa ibada maalum wa saxophne ambapo ibada iyo iliandaliwa na Misericordias Mushi katika katika la KKKT Mbezi Beach siku ya ijumaa juni 24 mwaka 2016.

Mbali na watu walihudhuria pia vikundi vya uimbaji pamoja na waimbaji binafsi walikuwepo katika usiku huo akiwemo mpiga saxophone Moses Mangwa, Christina Shusho, Sam Yonah, Angel Magoti, Sarah Ndosi Shila,Vijana Kwaya KKKT Ubungo, Mbezi Beach Praise Team na Glorious Worship Team.
Watu wakisebeneka
GK Tulikuwepo kuletea tukio zima Ungana Nasi katika picha.

Christina Shusho Katika uimbaji wakeMoses Mangwa katika upigaji wake wa SaxophoneMise akipiga Selfie pamoja na wapiga saxophone wenzake


Mke wa Mise akiwa uweponi


Mise Katika upigaji wake wa Saxophone
Kwaya ya vijana KKKT UbungoSam Yonah Katika uimbaji

Glorious Worship Team katika jukwaa
Kwa picha zaidi Bofya hapa 

GK Tunapatika kupitia mitandao ya kijamii @Gospel Kitaa

Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.