TAMASHA LA 'GOD FAVOURS ME' KATIKA PICHA KUTOKA MOSHI


KILIMANJARO - MOSHI KUMEKUCHA ANGA YOTE IMEJAWA NA NGUVU YA SIFA NA KUABUDU KAMA NENO LISEMWAVYO BWANA HUKETI KATIKA SIFA.

Haya yote yamejiri katika moja ya kanisa mkoani Kilimajaro liitwalo BETHELI MISSION CENTRE lililopo usharika wa neema KCMC ambapo watu wote walikusanyika huko kwaajili ya kusifu na kuabudu. Tamasha hilo lililobeba jina la GOD FAVOURS ME
                  Music Director :  Shedrack  Shekaoneka  akifanya yake kwa utukufu wa Mungu 


      
                                              Mchungaji mwenyeji : Amosi Shekaoneka


                                   Mc mtoto wa madhabahuni akiwasalimia watu wa Betheli                  Mchungaji mwenyeji akiwaombea waimbaji wote kwa kazi nzuri waliyoifanya

                      Kikundi cha kusifu na kuabudu kikiwa madhabuhuni wakati wa kutoa zawadi


                                     Mc Desdery a.k.a Mtoto wa Madhabahuni akiongea na watu

                     Zawadi maalumu iliyotolewa na kikundi cha kusifu na kuabudu kanisani hapo

Share on Google Plus

About Desdery Charles

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.