TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU SHABACH PRAISE SEASON 4 ARUSHA KATIKA PICHA

RHEMA WORSHIP TEAM KATIKA UBORA WAO WA SHABACH PRAISE SEASON 4 AMBAYO HUFANYIKA KILA MWISHO WA MWEZI KATIKA KANISA LA FPCT CITY CHURCH - KIMAHAMA HILI TAMASHA LA NNE SASA AMBALO WANAFANYA WAKISINDIKIWA NA MAKUNDI KAMA GLORIOUS CHOIR, REVIVAL CHOIR - FPCT SOKONI ONE NA PAUL JONSON & ARUSHA MASS CHOIR  WAIMBAJI BINAFSI MNENE MAKWETA, GOD SURRENDER'S, JENIPHER SITTA NA ESTHER YOHANA  GOSPEL KITAA NAYO ILIWEZA KUWEKA KAMBI.   Share on Google Plus

About John Maulid

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.