DIAMOND JUBILEE YAWA TAYARI KWA SEMINA KUBWA HII LEO

Maandalizi ya semina kubwa ya siku mbili ambayo huenda ikaweka historia nchini kwa mahudhurio na mapokeo ya watu watakao hudhuria yameonekana kukamilika kama picha zinavyoonyesha hapo chini. Semina hiyo inatarajiwa kuongozwa na nabii kijana ambaye ametokea kuvuma siku za karibuni kutokana na miujiza, ufundishaji na utajiri wake ndani na nje ya nchi Nabii Prophet Shepherd Bushiri kutoka Afrika ya kusini ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam mchana wa leo kuanzia saa nane na hapo kesho ndani ya ukumbi wa Tanzanite Hall mjini Morogoro.Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.