PICHA ZA AWALI KILICHOJIRI AFLEWO 2016 CCC UPANGA


Weekend hii kwa wakai wa Dar es Salaam ilikuwa ya aina yake, kwani Ijumaa ilitumika kumuabudu Mungu kwenye Kanisa la TAG City Christian Center, Upanga. Kusanyiko la waamini walifika hapa kama ilivyokuwa kwa mwaka 2015, lakini awamu hii pamoja na mengine hawakuacha kumshukuru Mungu kwa kuwavusha salama kwenye uchgauzi mkuu kama walivyoiomba amani itawale.

Tukio hilo ambalo lilikuwa la kipeke kuanzia mfumo wa sauti ulivyoandaliwa, taa zilizokuwa zikimulika murua jukwaa, na hata upigaji wa wahudumu waliofika siku hiyo, lilisababisha uwepo wa kipekee na hata Mungu kusema na watu wake dhahiri.

GK ilikuwepo katika mkesha huo, na zifuatazo ni baadhi ya picha kama ambavyo zilipigwa.
Mchungaji Paul Safari akizungumza jambo


Waliojitokeza kuokoka
Sammy Yona na wenzake
Wenye kuumwa nao walipata matibabu yao kupitia maombi kwa Jina la Yesu
Endelea kufuatilia GK, kwa picha na video mbalimbali za tukio hili ambalo limefanyika Ijumaa tarehe 8 Julai.Share on Google Plus

About Elie Chansa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.