SHOW ME MORE NDIO CHAGUO LA GK JUMAPILI NI KIWANGO KINGINELeo katika chaguo la GK tunakuletea ladha ya tofauti kidogo ya ile iliyozoeleka. Ni wimbo wa aina ya kufoka foka ama Rap kutoka kwa kijana Timo Justine a.k.a T-More anakwambia 'Show Me More' ikiwa kazi nzuri ya video iliyofanywa na kampuni ya 'Bracelet Media' chini ya mkurugenzi na muongozaji wake kijana ambaye team GK tunajivunia Boniface Kazi. Ni wimbo mzuri sana pia, video imefanywa katika kiwango kizuri. Tunakutakia jumapili njema.  BARIKIWAShare on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.