SIKU YA ENGAGEMENT YA KIJANA WA GOSPEL KITAA KATIKA PICHA

Hatimaye Gospel Kitaa imeanza kumeguka kwenye suala la ubachela, baada ya mmoja wao, Director John Maulid kumvisha pete ya uchumba mwanadada Jacquline Jijini Arusha.

Tukio hilo ambalo limefanika mapema mwanzo wa mwezi huu limewaacha Ambwene Mwamwaja, Silas Mbise, Desdery Charles, Bony Kazi na Elie Chansa wakibaki kufanya hesabu kwa magazijuto wakijisemea, "One Day Yes".

Zifuatazo ni picha za tukio hilo la kihistoria.

John Maulid akipiga goti kukamilisha ndoto yake hatua ya kwanza.


Mchungaji Goodluck Sandy akiongoza maombi kwa watarajiwa hao.
Share on Google Plus

About John Maulid

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.